Barbro Johansson Model Girls’ Secondary School - Fomu ya Maombi Pre-FV - 2018


Mpango wa awali kwa wanafunzi wanaotarajia kujiunga na kidato cha V 2018 utaanza tarehe 7 Aprili hadi tarehe 2 Juni 2018. Wanafunzi wote walioshiriki kwenye mpango wa awali watapewa nafasi ya kujiunga na Shule ya Barbro Johansson kwa kidato cha tano 2018, iwapo watakuwa na vigezo vinavyokidhi.

Comments(0)

No comments yet


JiCom

Published on Mar 28, 2018 46 Forms

  • 95

    Views
  • 0

    Likes
  • 0

    Downloads
Share