Barbro Johansson Model Girls’ Sec School Fomu ya Maombi A-Level - 2018


Tarehe za kufanya mtihani wa kujiunga na Shule kwa wanafunzi wanaotoka nje ya Shule ya Barbro Johansson ni tarehe 9 Machi 2018, 23 Machi 2018 na 6 Aprili 2018 saa mbili asubuhi Shuleni JOHA, Luguruni, Dar es Salaam.

Comments(0)

No comments yet


JiCom

Published on Mar 28, 2018 46 Forms

  • 103

    Views
  • 0

    Likes
  • 0

    Downloads
Share